Tuamshukuru MUNGU kwa kufanikisha program yetu ya
Dar es Salaam iliyofanyika mwezi Mei na hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa
siku hiyo, tunaomba radhi kwa kuchelewa kuwekwa kwenye mtandao kwani ilikuwa juu
ya uwezo wetu.. Ikumbukwe wanachama wa DSM walitembelea shule ya watoto wenye
ulemavu wa akili iitwayo Sinza Maalum (Sinza Special School)
Asanteni sana! May GOD bless us all
DSM members
Frank and Elisha...
Pamoja tunaweza!!
...getting update about the school
Sinza Special School
It was a happy day for all..
No comments:
Post a Comment